JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Nyota ya Makonda yang’ara Arusha Mjini

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Paul Christian Makonda ameibuka mshindi wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa kupata kura 9,056 ambazo ni sawa na asilimia 97.63 ya kura zote halali. Ushindi huu unamuweka mbele kwa kiasi kikubwa…

Bakari Kimwanga aibuka kidedea udiwani kata ya Makurumla kwa kura 467

Bakari Kimwanga ambaye alikuwa anatetea nafasi yake ya udiwani kata ya Makurumla Mkoa wa Dar ea Salaam amefanikiwa kurejea tena kwa kupata kura 467 ambapo Rajab Suleiman Hassan alipata kura 344 na Idd Shaban Taletale ameambulia kura 18. Kati ya…

NHIF iliokoa maisha ya mwanangu – RAS Tabora

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Bw. Rogath John Mboya ameahidi kushirikiana na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), katika kuhamasisha kujiunga na huduma zake ili wajihakikishie huduma za matibabu wakati wote bila…

Tanzania yaadhimisha Siku ya Mikoko Duniani kwa kupanda miti 5,000

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tanzania leo imeadhimisha kwa mara ya kwanza kitaifa Siku ya Kimataifa ya Mikoko Duniani, kwa kupanda jumla ya miti 5,000 ya mikoko katika eneo la Kilongawima, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam – ikiwa…

TMA yatoa elimu ya hali ya hewa Nanenane

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetumia fursa ya Maonesho Nanenane 2025 kitaifa yanayofanyika katika Viwanja vya Nzuguni, Dodoma kutoa elimu kwa jamii kuhusu huduma zitolewazo na jukumu kubwa la TMA la kudhibiti shughuli…