JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Makamu wa Rais ashirii Misa Takatifu ya Jumapili ya nne ya Kwaresma Songea

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameungana na Waumini mbalimbali katika Misa Takatifu ya Jumapili ya Nne ya Kwaresma, katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Mathias Mulumba Kalemba, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Leo tarehe…

Marekani yazidisha mashambulizi, Iran yaapa kutosalimu amri

Marekani imesema imeyashambulia maeneo zaidi ya 90 ya kijeshi ya Iran katika kisiwa cha Kharg, huku Iran nayo ikijibu mashambulizi hayo kwa kufyetua makombora na droni kuelekea Israel na katika nchi jirani za Ghuba. Kamandi kuu ya jeshi la Marekani…

Serikali yaipongeza Bodi ya Mikopo kuendelea kuwafikia wanafunzi wengi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Denis Londo amesema Serikali itaendelea kuimarisha uwekezaji katika elimu ya juu ili kuwajengea vijana uwezo wa kushindana katika soko la ajira ndani na nje ya nchi. Akizungumza…

TRC yaanza kuunda vichwa vya treni za MGR nchini

Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu, imelitolea wito Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuendelea kuwajengea uwezo vijana wa Kitanzania wanaounda na kukarabati vichwa vya treni za MGR, kwa kuwapa mafunzo thabiti ndani na nje ya nchi ili kuongeza maarifa,…

Waziri Mkuu aridhishwa ujenzi wa daraja la Katuma

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amekagua na kuridhishwa na ujenzi wa daraja la Katuma mita 55 katika barabara ya Sitalike-Kizi km 64.‎ ‎Akizungumza mara baada ya kuikagua barabara hiyo ameipongeza Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), kwa…

Uimarishaji mpaka wa Tanzania na Kenya wafikia asilimia 75

Na Eleuteri Mangi, JamhuriMedia, Kilimanjaro Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na kazi ya uimarishaji wa mpaka wa Kimataifa kati ya Tanzania na Kenya ambapo Km 564 sawa asilimia 75 tayari zimewekewa alama kati ya…