Author: Jamhuri
Waandaji wa maudhui mtandaoni washauriwa kuzingatia sheria za uchaguzi
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka waandaji wa maudhui mtandaoni kusoma nyaraka mbalimbali na kufuata maelekezo ili ushiriki wao katika mchakato wa uchaguzi uweze kufanyika kwa kuzingatia masharti na matakwa ya sheria…
Majaliwa aiagiza Wizara ya Kilimo kukuza teknolojia za umwagiliaji nchini
NIRC:Dodoma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kasim Majaliwa, amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Dkt.Gerald Mweli kuhakikisha kuwa Wizara hiyo, kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, inashirikiana na sekta nyingine za umma ili kuhimiza matumizi ya teknojia…
Wizara ya Kilimo iziwezeshe taasisi kupata zana za kisasa – Waziri Mkuu
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo iweke utaratibu wa kuziwezesha taasisi zinazojihusisha na kilimo kwa kuzipatia zana za kisasa za kilimo ili kukuza sekta hiyo. Amesema kufanya hivyo kutasaidia kwa kiasi kikubwa kuongeza tija katika shughuli za kilimo…
Ubunge ni kazi ya watu – Dk Biteko
Dkt. Doto Mashaka Biteko leo Agosti 3, 2025 amefika kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge wa jimbo la Bukombe ikiwa ni sehemu ya utambulisho wa wagombea wa udiwani na…
Trump aagiza kuwekwa nyambizi za nyuklia baada ya malumbano
Rais wa Marekani Donald Trump anasema ameamuru manowari mbili za nyuklia “kuwekwa katika maeneo yanayofaa” kujibu matamshi “ya uchochezi” ya Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev. Trump alisema alitenda hilo “ikiwa tu kauli hizi za kipumbavu na za uchochezi…
Trump amfukuza kazi mkuu wa Idara ya Takwimu za Zjira
Rais wa Marekani Donald Trump amemfukuza kazi mkuu wa idara inayoshughulikia takwimu za ajira baada ya idara hiyo kuchapisha takwimu ambazo kwa mtazamo wa Trump zinavunja moyo Rais Trump bila ya kutoa Ushahidi wowote amemshutumu Bi. Erika McEntarfer, kwa kuchakachua…





