Author: Jamhuri
TBS yateketeza shehena ya bidhaa hafifu za vipodozi na chakula Mwanza
Na Mwandishi Wetu, Mwanza Shehena ya bidhaa mbalimbali vikiwemo vipodozi vyenye viambata vya sumu zenye uzito wa tani sita zimeteketezwa baada ya kuondolewa sokoni kutokana na kutokidhi matakwa ya viwango. Bidhaa hizo zimeteketezwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) katika…
Gekul asisitiza mawakili kutoa msaada wa sheria kwa wananchi
Kampeni Naibu waziri wa Katiba na Sheria Paulina Gekul amewataka wanasheria na wasaidizi wa sheria kutumia uwezo wao na maarifa waliyonayo kuwasaidia wahanga wa vitendo vya ukatili na wahitaji wengine kupata haki zao. Ametoa agizo hilo wakati akifungua mafunzo maalum…
Gwajima: Ukatili umeongezeka, wazazi wafanyeni vikao na watoto wenu
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imezindua kampeni ya Kitaifa ya elimu ya mmonyoko wa maadili ambayo itafanyika kwa kipindi cha miezi sita kuanzia Juni hadi Desemba mwaka huu huku akiwataka wazazi na walezi kufanya vikao vya mara kwa mara na…
TMA yawaonya wamiliki vituo vya hali ya hewa
Na MWandishi Wetu, JamhuriMedia Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Dk. Ladislaus Chang’a, amewaonya wamiliki wa vituo vya hali ya hewa nchini kuacha mara moja tabia ya kutoa taarifa zao kiholela kwani kufanya hivyo ni…





