JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais Samia azipa kibarua TAKUKURU,ZAECA

Rais wa Samia Suluhu Hassan ameziagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) na Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) kufuatilia miradi ya maendeleo iliyobainika kuwa na dosari. Rais Samia ametoa agizo hilo leo kwenye…

TRA yatoa ufafanuzi tuhuma za kukusanya kodi kimabavu

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetolea ufafanuzi tuhuma zilizoandikwa kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter kuhusu ukusanyaji wa kodi kwa kutumia mabavu na kufafanua kwamba kilichokuwa kinafanyika, ilikuwa ni kukamata shehena ya vitenge vilivyoingizwa nchini kwa njia ya magendo. Taarifa…

Mwalimu Nyerere alivyohubiri maendeleo, Umoja wa Kitaifa

Na Mwalimu Samson Sombi,JamhuriMedia Imetimia miaka 23 tangu kutokea kwa kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, katika Hospitali ya Mt. Thomas jiji la London nchini Uingereza Octoba 14, 1999. Mwalimu Julias Kambarage Nyerere alizaliwa mwaka 1922 Kijijini…

NECTA yatoa tamko mwanafunzi kubadilishiwa namba ya mtihani

Mwanafunzi wa shule ya Msingi Chalinze Modern Islamic, Mkoa wa Pwani, Iptisum Slim amedai kubadilishiwa namba yake mtihani wa kumaliza elimu ya msingi Oktoba 5 hadi 6, 2022. Kupitia video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii mwanafunzi huyo mhitimu wa darasa…

Mwalimu afungwa jela maisha kwa kumlawii mwanafunzi

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Moshi imemuhukumu mwalimu Elibariki Mchomvu kwa kosa la kumlawiti mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka saba. Mwalimu huyo aliyekuwa akifundisha Shule ya Msingi Chomvu iliyopo Wilaya ya Mwanga alipatrikana na hatia kwa…