Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi  akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Fuoni Uwandani, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Tauhid Fuoni Uwandani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 5-5-2023.
Wananachi wa Fuoni Uwandani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Tauhid Fuoni Uwandani leo 5-5-2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisamiana na kuagana na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa , iliyofanyika katika Masjid Tauhid Fuoni Uwandani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 5-5-2023.(Picha na Ikulu.

By Jamhuri