Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza   katika Mkutano wa Mabalozi na Halmashauri Kuu za CCM Majimbo ,Wilaya na  Mkoa wa Magharibi Kichama  katika ukumbi wa Piccadiliy Kombeni Wilaya Magharibi “B”leo (kulia) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Mhe.Mohamed Rajab Sudi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Leila Burhani Ngozi  .[Picha na Ikulu] 06/05/2023.

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto pichani)alipokuwa akizungumza   katika Mkutano wa Mabalozi na Halmashauri Kuu za CCM Majimbo ,Wilaya na  Mkoa wa Magharibi Kichama  katika ukumbi wa Piccadiliy Kombeni Wilaya Magharibi “B”leo (kulia) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Mhe.Mohamed Rajab Sudi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Leila Burhani Ngozi  .[Picha na Ikulu] 06/05/2023.

Washiriki katika ngazi mbali mbali katika  Mkutano wa Mabalozi na Halmashauri Kuu za CCM Majimbo,Wilaya na  Mkoa wa Magharibi Kichama wakimsikiliza   Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumzanao  leo katika ukumbi wa Piccadiliy Kombeni Wilaya Magharibi “B”[Picha na Ikulu] 06/05/2023. 

Washiriki katika ngazi mbali mbali katika  Mkutano wa Mabalozi na Halmashauri Kuu za CCM Majimbo,Wilaya na  Mkoa wa Magharibi Kichama wakimsikiliza   Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumzanao  leo katika ukumbi wa Piccadiliy Kombeni Wilaya Magharibi “B” 

By Jamhuri