Author: Jamhuri
Waziri Mkenda atoa wito kwa watahiniwa wanaoanza mitihani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ametoa wito kwa watahiniwa wanaoanza mitihani kuzingatia masharti na taratibu zote za mitihani. Waziri Mkenda ametoa wito huo jijini Dodoma wakati akitoa salamu za kheri kwa…
Wajawazito kupimwa vipimo vya awali bila malipo
Na Catherine Sungura, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amewataka akina mama wajawazito wanaofika kwenye Kliniki za Uzazi, Mama na Mto kupimwa wingi wa damu, mkojo kuangalia wingi wa protini, shinikizo la damu pamoja na kusikiliza mapigo ya moyo…
TRA yazindua kampeni ya’Tuwajibike’ yakumbusha kudai na kutoa risiti
Na Mussa Augustine, JamhuriMedia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imezindua rasmi kampeni inayojulikana kwa jina la ‘Tuwajibike’ yenye lengo la kuwakumbusha na kuwahamasisha wauzaji bidhaa na wanunuzi kutoa na kudai risiti halali za EFD. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati…
Wanawake TUICO wapigwa msasa na NMB Mkononi Morogoro
Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu wa benki ya NMB, Joanitha Mrengo(Kulia) akizungumza na Naibu Katibu Mkuu TUICO, Takim Salehe(Kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Mashirika ya Fedha TUICO, Peles Jonathan Hageze(Katikati) baada ya kufungua semina ya kuwajengea uwezo wafanyakazi wanawake…





