Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana  na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania  Mhe.Michael Battle,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa ajili ya  Mazungumzo.[Picha na Ikulu] 02/05/2023.

 

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na  Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Mattle,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa na ujumbe wake (hawapo pichani).[Picha na Ikulu] 02/05/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na  Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Battle (wa tatu kushto) akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo .[Picha na Ikulu] 02/05/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza  Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Mattle,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo wakati wa mazungumzo akiwa na ujumbe wake (hawapo pichani).[Picha na Ikulu] 02/05/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika picha na Mgeni wake Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Mattle,alipofika kujitambulisha Ikulu Jijini Zanzibar leo baada ya  mazungumzo yao.[Picha na Ikulu] 02/05/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifuatana na  Mgeni wake Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Mattle,aliyefika Ikulu Jijini Zanzibar leo kujitambulisha na  mazungumzo ya pamoja.[Picha na Ikulu] 02/05/2023

By Jamhuri