Author: Jamhuri
Kanali Joseph Bakari atunukiwa nishani Jeshi Shirikisho Urusi
WIZARA ya Ulinzi ya Jeshi la Shirikisho Urusi limemtunukia nishani Kwa kuimarisha ushirikiano katika Majeshi KimataifaKanali Joseph Bakari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania nchini Urusi. Kanali Bakari ambaye ni Mkurugenzi wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani…
Serikali yatangaza mapumziko siku ya Sensa
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia Agosti 23, 2022 kuwa siku ya mapumziko. Lengo ni kuwezesha Watanzania kushiriki Sensa ya Watu na Makazi. Awali ilitangazwa kuwa siku hiyo haitakuwa aya mapumziko
Rais Samia asisitiza matumizi ya lugha ya Kiswahili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu wa usalama wa chakula katika ukanda mzima wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na kuzisihi nchi hizo kuwekeza kwenye ‘Uchumi wa Buluu’. Rais Samia amependekeza hayo katika…
Kesi ya mgogoro wa ardhi Pugu Kinyamwezi yarejeshwa Mahakama ya Wilaya
Na Aziza Nangwa,JamhuriMedia,Dar Jaji Mwenegoha wa Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi ameamuru kesi ya mgogoro wa ardhi dhidi ya Frida Kysesi na Shaabani Kapelele ilirudi Baraza la Ardhi la Wilaya kwa ajili ya kusikilizwa. Uamuzi huo ulifikiwa jana baada ya…