Author: Jamhuri
Waziri Jafo awataka wachimbaji kufuata sheria ya mazingira
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewaasa wachimbaji wadogo wa dhahabu kutumia teknolojia mbadala wa miti katika shughuli zao. Dkt.Jafo ametoa kauli hiyo wakati akishiriki katika…
Barrick North Mara, wakandarasi wakabidhi msaada wa vifaa Tarime
Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara na wakandarasi wake mgodini wamekabidhi msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 120 katika Kituo cha Afya Sungusungu kilichopo Nyamongo wilayani Tarime. Hafla ya kukabidhi msaada huo imefanyika katika…
Ihefu yawa mteja kwa Simba
Licha ya Ihefu kuwa bora kwenye mchezo wa leo mbele ya Simba kwenye upande wa umiliki wamekwama kuondoka na pointi tatu. Dakika 90 zimekamilika ubao wa Uwanja wa Highland Estate unasoma Ihefu 0-2 Simba. Mabao yote mawili yamefungwa na Jean…
Rais Samia apongezwa kuchukua hatua ripoti ya CAG
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Rais Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhirifu wa pesa za umma uliobainishwa kwenye ripoti ya Mdhibiti…
Hiki hapa kikosi cha Simba dhidi ya Ihefu
Kikosi cha Simba dhidi ya Ihefu mchezo wa Ligi Kuu Bara namna hii:- Ally Salim yupo langoni, Israel Mwenda, Gadiel Michael kapewa kitambaa cha unahodha Onyango,Kennedy Juma,Ismail Sawadogo, Pape Sakho, Mzamiru Yassin, Jean Baleke, Habib Kyombo, Kibu Dennis





