JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kamati yaibua mengi Lodhia, Tanesco

Wananchi wilayani Mkuranga wameutupia lawama uongozi wa Kiwanda cha Nondo cha Lodhia wakidai kunyanyasa wafanyakazi na kutokuwa na ushirikiano kwa jamii inayokizunguka. Wakizungumza mbele ya Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Subira Mgalu, hivi karibuni, wananchi ambao miongoni mwao ni…

Dar es Salaam ikiweza, Tanzania imeweza

Wiki iliyopita itabaki katika kumbukumbu miongoni mwa Watanzania wengi wa kizazi hiki kutokana na tishio la ugonjwa wa COVID-19 unaotokana na virusi vya corona kusababisha matamko na maelekezo kadhaa kutoka serikalini. Kwa mara ya kwanza katika miaka ya karibuni Tanzania…

MAISHA YANAPOKUPATIA LIMAU, TENGENEZA JUISI YA LIMAU (2)

Maisha yakikupatia pilipili, tengeneza chachandu Kahawa haikujua kama ni nzuri kabla haijakutana na sukari na maziwa. Pilipili pia haikujua kama ina ladha murua kabla haijakutana na nyanya. Chachandu ni mchanganyiko wa mchemsho wa nyanya zilizosagwa na pilipili. Chachandu hutumika kama…

Mtunzi maarufu lakini mwingi wa mizaha

Maandishi ya historia za watu wengi maarufu yanajikita kuelezea maisha yao ya kawaida lakini maisha kama tunavyoyafahamu yana mambo mengi sana, hata hao watu maarufu wana visa na vituko vingi ambavyo ni nadra sana kuonekana katika maandiko kuhusu maisha yao….

Ubabe haujengi, hauna tija (2)

Katika sehemu ya kwanza ya makala hii nilieleza aina mbalimbali za ubabe na kuonyesha madhara yake kwa jamii. Nilionyesha jinsi ambavyo ubabe wa wanyama unavyokuwa na jinsi ambavyo baadhi ya viongozi waliiga ubabe huo wa wanyama na tukaona mwisho wao…

Corona kusogeza mbele Uchaguzi Mkuu 2020?

Baada ya waandishi wa habari kuniuliza nini kitatokea endapo janga la corona litaenda hadi wakati wa Uchaguzi Mkuu, nimeona ni vema kuandika maoni yangu kupitia uchambuzi wa kisheria.  Ni kweli kwamba ugonjwa huu ukizidi kuwa mkubwa nchini, mazingira ya kwenda…