Author: Jamhuri
Ummy asisitiza umakini maofisa mipakani
Katika kukabiliana na ugonjwa wa homa kali inayosababishwa na virusi vya corona, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amewataka maofisa afya kwenye mipaka yote nchini kufanya ukaguzi wa kina kwa wageni wanaoingia nchini badala…
Maendeleo yanaletwa na watu
Mtu adilifu anatengeneza kitu iwe kwa kuunda, kurekebisha kilichoharibika au kisichofaa kwa matumizi, ili kifae. Mtu dhalimu anavunja, anaharibu au anashusha hadhi ya kitu kilichotengenezwa. Anabomoa. Watu wawili hawa kila mmoja ana uhuru wa kuwaza, kutoa mawazo yake kufanya au…
Yah: Waziri wa Afya kuna mahali unachezewa
Mheshimiwa Waziri, naomba nikushike sikio, labda kuna kitu kinaweza kukukumbusha juu ya ugonjwa huu wa mafua makali ambayo sasa yametuletea tafrani kubwa nchini na kusababisha mdororo kwa baadhi ya sekta. Elimu ni mojawapo ya sekta ambazo zimeathirika sana, si rahisi…
Mafanikio katika akili yangu (23)
Toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: Akaichukua na kuipokea kisha akaiweka sikioni: “Haloo!’’ Sauti akaifahamu kuwa ni ya profesa mwenzake. “Mbona sikuoni, hauko kwenye baraza mwaka huu?’’ Profesa baada ya kusikia hivyo akashituka: “Kwani kuna baraza la mitihani gani hapo?’’…
Aliyeajiriwa anamtaka kijana akajiajiri
Tatizo la ajira ambalo linaendelea kusumbua nchi nyingi duniani, Tanzania ikiwemo, limegeuka kuwa ajenda kubwa katika mijadala ya aina mbalimbali. Mingi ya mijadala hii inalenga kutoa maoni juu na namna nzuri ya kukabiliana na tatizo hilo. Ajenda kubwa hapa ni…
JOSE CHAMELEONE
Mwanamuziki tajiri Uganda Jose Chameleone yaelezwa kuwa ndiye mwanamuziki anayeongoza kwa utajiri nchini Uganda, akikadiriwa kuwa na utajiri unaofikia Sh bilioni 1.5 za Tanzania. Aidha, anamiliki majengo ya thamani kubwa ya kukodisha (apartments), ziitwazo Daniella Villas, jijini Kampala na studio…