Author: Jamhuri
Koffi Olomide ataja siri ya kufanya muziki muda mrefu
Mkali wa muziki wa rhumba kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Koffi Olomide Mopao Mokonzi, ametaja siri ya kuendelea kuwapo kwenye muziki kwa muda mrefu licha ya kuwa na umri mkubwa. Olomide amesema hayo alipokuwa akijibu swali la mwandishi…
Tufikirie kuleta waamuzi kutoka nje
Sitaki kuzungumzia matokeo ya mechi kati ya Yanga dhidi ya Simba. Kila mtu anajua matokeo yake. Kuna yaliyowafurahisha na wengine wamekereka. Ila kwa ujumla ninataka tutazame juu ya waamuzi wetu ndani ya Ligi Kuu. Na sitaitumia tu mechi hiyo kuangalia…
Yanga, Simba funzo tosha
Rais John Magufuli kuna kitu alikifanya kizuri zaidi Jumapili. Siku ambayo Yanga iliivaa Simba na kuondoka na ushindi wa bao 1-0, katika mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Ile kwenda uwanjani tu, ilikuwa hamasa tosha na kuonyesha kuna ‘derby’…
Utata balozi wa heshima
Utata umejitokeza kuhusu raia wa Tanzania anayejitambulisha kuwa na hadhi ya kibalozi, akiwa na hati mbili za kusafiria, ikiwamo ya nchi nyingine. Sambamba na hilo, pia ana majina yanayotofautiana katika hati zote mbili, lakini anasema hana kosa lolote. Hati…
Msalaba Mwekundu ‘shamba la bibi’
Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS), kinakabiliwa na tuhuma za kulindana, kupeana na kupandishana vyeo kiholela, upendeleo, wafanyakazi hewa, kutolipa kodi kwa muda na kuajiri wataalamu wasio na sifa. Kuna mkanganyiko wa muda mrefu wa nani hasa mwangalizi wa Chama…
Wajasiriamali ‘waliteka’ jiji
Vitambulisho vya wajasiriamali vilivyotolewa na Rais Dk. John Magufuli mwaka jana vimeyageuza maeneo mengi katikati ya Jiji la Dar es Salaam kuwa masoko yasiyo rasmi, JAMHURI limebaini. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI na kuthibitishwa na baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya…