Author: Jamhuri
Rais Magufuli stahamili na upowe
“Wamo kwenye ulimwengu, waovu na wazandiki, Nikisafu moyo wangu, sina kinyongo na chuki, Masifu si sifa yangu, na kugombana sitaki. Stahamili na upowe, zidisha uvumilivu, Stahamili uridhiwe, Mungu ndiye mwenye nguvu.” Maneno haya ni sehemu ya wimbo STAHAMILI ukiwa ni…
Yah: Baba nikiwa mkubwa nataka niwe mwalimu, tulisema!
Katika miaka ya hamsini huko ambako wasomaji wengi wa waraka huu walikuwa ama wanazaliwa au watu wazima wa kupiga kura watakumbuka nafasi ya mwalimu katika jamii yetu. Mwalimu alikuwa ni nani na kwanini mtu alikuwa mwalimu, na mwalimu alifananaje? Naamini…
Mafanikio katika akili yangu (17)
Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: “Idara ya uchapishaji wapo, na Mkurugenzi Caves yupo?’’ aliuliza Penteratha. Alikuwa amedhamiria kumpigania Noel, kijana mwenzake mwenye asili sawa na ya kwake. “Yupo, muone,’’ meneja wa machapisho alimruhusu Penteratha kuingia kuonana na Mkurugenzi…
Mbwana Samatta ang’ara tena
Mshambuliaji mpya wa Aston Villa ya Uingereza na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, ameendelea kung’ara kwa kuchaguliwa kuwa Mtanzania kijana mwenye ushawishi mkubwa kwa mwaka 2019. Samatta ameibuka kidedea katika kura zilizoendeshwa na Kampuni ya Avance Media. Taarifa iliyotolewa…
Simba, Yanga fupa lisilo na maana
‘Uzalendo umetushinda, uzalendo umetushinda’, hayo yalikuwa ni maneno yaliyosikika yakiimbwa na mashabiki wa Yanga mwaka 1993 baada ya Simba kufungwa na Stella Abidjan katika mechi ya fainali ya Kombe la CAF (sasa Kombe la Shirikisho). Stella Abidjan walishinda magoli 2-0…
Tunapomsifia Samatta, tumzomee Kichuya
Miaka 44 iliyopita Watanzania wengi tukiwa hatujui chochote kuhusu teknolojia wala televisheni, Sunday Manara, anakwenda Uholanzi kucheza soka la kulipwa. Baada ya miaka miwili (1978) maisha ya Uholanzi yanamshinda, anaamua kutimkia Marekani kwenye Klabu ya New York Eagles. Mambo bado…