Author: Jamhuri
Acha kubeba mzigo wa wivu (1)
“Wivu ni kansa ya akili’’. – B.C. Forbes Acha wivu. Wivu hautajirishi. Wivu hauna tuzo ya aina yoyote. Wivu ni kubeba msalaba mzito usiokuhusu. Mwandishi B.C. Forbes anasema: “Wivu ni kansa ya akili.” Kama unataka kufanikiwa katika maisha, acha wivu. …
HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (14)
Kama si sasa ni lini? Kuna methali ya Kiyahudi isemayo: “Kama si sasa ni lini? Kama si sisi ni nani?” Katika makala hii tutazungumzia sehemu ya kwanza ya methali. Kama si sasa ni lini? Liwezekanalo sasa lisingoje saa ijayo. Liwezekanalo…
Hakuna ziada mbovu
Waswahili tunasema: “Hakuna ziada mbovu.” Hii ni methali kongwe yenye maana kuongezwa jema ni manufaa, kwani hata kama halina kazi sasa, halitakosa kazi baadaye. Ni methali inayotaka tafakuri pana. “Kuongezwa jema” inatokana na asili tatu. Mosi, kutafuta kwa kufanya kazi….
Yah: Nilibatizwa kwa maji machache, siku hizi ni wa moto
Wakati nilipokuwa mtoto wazazi wangu walinipeleka katika kanisa ambalo mimi nilibatizwa na kupewa jina ninalotumia mpaka leo. Kwa jinsi ninavyosimuliwa ni kwamba sikulia wakati wa kubatizwa kwa sababu maji hayakuwa mengi kama ambavyo siku hizi watu wanalia kwa kubatizwa ndani…
Mafanikio katika akili yangu (16)
Toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: “Nina kijana nyumbani ana uwezo mzuri wa uandishi wa vitabu, kwanini msimpe nafasi?’’ alisema Meninda. Sasa endelea… Mkurugenzi alifikiria kwa dakika chache kisha akamjibu: “Kama yuko nyumbani uje naye siku yoyote ili nimpe kazi…
Singeli kuifunika Bongo Fleva? (2)
Katika makala iliyopita tulianza kuangalia kwa ufupi historia ya mwanamuziki Man Fongo, ambaye ni mmoja wa watu ambao wameufanya muziki wa Singeli ukasisimua nchini. Ingawa Man Fongo na wenzake wamefanya kazi kubwa kuutambulisha muziki huo ambao sasa unashindana na Bongo…