Author: Jamhuri
Kina Samatta wapo wengi tu
Nakumbuka kipindi hicho kabla hatujacheza na Nigeria, kocha wa Taifa Stars aliwaita wachezaji wetu kadhaa wa kigeni. Lilikuwa na bado linabaki kuwa wazo zuri sana. Timu karibu zote ambazo hivi karibuni zimecheza mechi za kutafuta kufuzu zimeundwa na wachezaji wengi…
Nimtume nani kwa Yusuph Mlipili?
Ilikuwa Jumamosi ya Machi 17, 2018 nchini Misri. Dakika 90 zinamalizika kwa sare tasa katika dimba la Port Said katika mechi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika ambapo Al Masry ya Misri iliikaribisha Simba ya Tanzania. Ahmed Gomaa na washambuliaji…
Bashe matatani
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ameingia katika mgogoro na wanachama wa Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Chai Lupembe kutokana na hatua yake ya kuvunja bodi ya chama hicho na kuteua watu wa kusimamia uendeshaji wa shamba la chai…
UMATI yaondolewa kwenye ‘nyumba yake’
MWANZA NA MWANDISHI WETU Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI) kimeingia katika mgororo wa umiliki wa nyumba ambayo kilikuwa kinaitumia kama kliniki ya matibabu wilayani Ilemela, mkoani Mwanza. Ingawa UMATI inadai kuimiliki nyumba hiyo baada ya kuinunua kwa…
Mambo ya Ndani kiti cha moto
· Mawaziri wengi hawadumu zaidi ya miaka miwili DAR ES SALAAM NA ALEX KAZENGA Kutimuliwa kwa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, wiki iliyopita kumeifanya wizara hiyo iendelee kuwa miongoni mwa wizara ambazo zimeongozwa na idadi kubwa…
Polisi Moshi yakanusha hujuma miundombinu
Uchunguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro umeshindwa kubaini kuwepo kwa hujuma zozote dhidi ya njia ya reli kati ya Moshi na Arusha. Polisi walilazimika kufanya uchunguzi huo baada ya Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya, kusema…