Author: Jamhuri
Wazuiwa kumuaga marehemu baba yao, kisa hawajakeketwa!
Tanzania ni miongoni mwa nchi barani Afrika ambayo inasifika kwa kuwa na mifumo mingi ya ulinzi dhidi ya ukatili wa wanawake na watoto. Hilo si suala la bahati mbaya, kwani mifumo hiyo imewekwa makusudi na serikali na sekta binafsi kama…
Jibu la msamaha ni msamaha (1)
Napenda kuchukua fursa hii kuwatakia wanafamilia wa ukurasa wa TUZUNGUMZE na wasomaji wote wa Gazeti la JAMHURI heri ya Noeli na Mwaka Mpya wa 2020. Napenda kuwatakia miezi 12 ya furaha, wiki 52 za baraka, siku 366 za mafanikio,…
HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (11)
Jogoo wanaowika yalikuwa mayai Mwanzo wa mkeka chane mbili. Hatupaswi kudharau mwanzo wa jambo lolote lile. Usidharau kidogo ulicho nacho. Mambo yote makubwa huanzia madogo. Yesu alianza maisha yake duniani zizini, pangoni na horini. Kwa sasa Yesu Kristo ni kitovu…
‘Tundu la choo’ linamuandama Donald Trump
Mapema mwaka huu Rais Donald Trump wa Marekani alinukuliwa akisema haoni sababu ya kuweka kinga ya kisheria kwa wahamiaji kutoka nchi alizozifananisha na tundu la choo. Alikuwa akizungumzia baadhi ya nchi za Amerika ya Kusini na nchi za Afrika. Tafsiri…
Buriani mwaka 2019, karibu mwaka 2020
Mwaka ni kipindi cha miezi kumi na miwili, kuanzia Januari hadi Desemba, kulingana na kalenda ya Kirumi, na mfunguo nne (muharami) hadi mfunguo tatu kulingana na kalenda ya Kiarabu. Watanzania wanazitumia kalenda hizi zote mbili. Ni kipindi cha siku 364…
Yah: Karibu Mwaka Mpya na yawe mambo mapya
Nakumbuka sana kuhusu andiko langu la kitabu ambalo liko toleo la mbali kidogo, lakini nitakuwa sina fadhila iwapo siku hizi za mwisho wa mwaka na sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo nitajitoa fahamu ya kusahau umuhimu wa kumaliza mwaka na…