JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tanzania kutumia fursa za uwekezaji kutoka benki ya Afrexim

Na Peter Haule,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Lameck Nchemba amemuahidi Rais wa Benki ya Afrexim kuongeza mtaji wa ziada katika Benki hiyo ambayo Tanzania inamiliki hisa ili iwe na wigo mpana wa kuendelea kupata rasilimali fedha kwa ajili…

Yanga ‘kujifungia’ Kigamboni Dar

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, na Michuano ya ASFC, Young Africans SC wamethibitisha kuwa wataweka kambi ya maandalizi ya msimu ujao wa mashindano jijini Dar es Salaam katika hosteli za Avic Town, Kigamboni. Akizungumza…

Serikali yamaliza kiu ya wananchi kutumia mitumbwi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kagera SERIKALI imemaliza kiu ya wananchi wanaotumia barabara ya Orthodox-Rwenkorongo-Chonyonyo kwa kutatua changamoto ya kutumia mitubwi kama njia ya usafiri kuvuka eneo la barabara lenye tingatinga umbali wa kilomita 0.25 kwenda kupata huduma za kijamii. Hayo yameelezwa na…

Jaji Mkuu:Wadau msibaki nyuma safari ya Mahakama Mtandao

Magreth Kinabo na Mary Gwera,JamhuriMedia Jaji Mkuu wa Tanzania,Prof. Ibrahim Hamis Juma amesema kwamba wadau wa Mahakama ya Tanzania wasibaki nyuma katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) wakati huu Mahakama inapoelekea kwenye Mahakama mtandao ‘e-Judiciary’. Akizungumza na…

Matajiri ‘wategesha bomu’ Nyamongo

*Likilipuka litaufilisi mgodi, litawaachia wananchi umaskini * Wengi wao ni kutoka Dar es Salaam, Mwanza *Serikali yaombwa kuingilia, kuzuia hali ya hatari TARIME Na Mwandishi Wetu Wakati serikali ikifanya jitihada kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji kwa manufaa ya wananchi, baadhi…