JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wajawazito kupimwa vipimo vya awali bila malipo

Na Catherine Sungura, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amewataka akina mama wajawazito wanaofika kwenye Kliniki za Uzazi, Mama na Mto kupimwa wingi wa damu, mkojo kuangalia wingi wa protini, shinikizo la damu pamoja na kusikiliza mapigo ya moyo…

TRA yazindua kampeni ya’Tuwajibike’ yakumbusha kudai na kutoa risiti

Na Mussa Augustine, JamhuriMedia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imezindua rasmi kampeni inayojulikana kwa jina la ‘Tuwajibike’ yenye lengo la kuwakumbusha na kuwahamasisha wauzaji bidhaa na wanunuzi kutoa na kudai risiti halali za EFD. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati…

Wanawake TUICO wapigwa msasa na NMB Mkononi Morogoro

Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu wa benki ya NMB, Joanitha Mrengo(Kulia) akizungumza na Naibu Katibu Mkuu TUICO, Takim Salehe(Kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Mashirika ya Fedha TUICO, Peles Jonathan Hageze(Katikati) baada ya kufungua semina ya kuwajengea uwezo wafanyakazi wanawake…

Miili 100 waliokufa kwa imani ya kukutana na Yesu kufanyiwa upasuaji

Maafisa nchini Kenya wanasema shughuli ya upasuaji wa zaidi ya miili 100 inayohusishwa na mchungaji mmoja ambaye anadaiwa kuwashauri waumini wake wafunge kula hadi wafe ili wawe wa kwanza kwenda mbinguni, umeanza. Mpasuaji mkuu wa serikali ya Kenya,Johansen Oduor, ndiye…

Aliyemtukana Rais Samia atupwa jela miaka sita Chato

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato Msanii wa nyimbo za asili ya Kisukuma,Dawa Juma,mkazi wa kijiji cha Makurugusi wilayani Chato mkoani Geita,amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela au kulipa faini ya shilingi milioni 10 baada ya kupatikana na hatia ya kumtukana…