Author: Jamhuri
Rais Magufuli anamjenga Lissu
Wiki iliyopita vyombo vya habari vimetangaza habari nyingi za kukamatwa, kusafirishwa, kushikiliwa polisi, kufunguliwa kesi mahakamani, kesi kuendelea hadi saa 3:00 usiku na kisha Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu kujidhamini. Binafsi sina nia ya kurejea matamshi ya Lissu,…
Bunge lafafanua tuhuma dhidi yake
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limefafanua tuhuma dhidi yake zilizoibuliwa na Gazeti la JAMHURI hivi karibuni kuhusiana na ajira za upendeleo, matumizi mabaya ya ofisi, muundo mbovu, kuajiri watoto wa vigogo na nyingine. Mkurugenzi wa Ofisi ya Spika,…
Rais Magufuli turudi msitarini
Katika siku za karibuni kumekuwa na mtanziko mkubwa wa kisiasa nchini, huku Rais John Magufuli akizidi kusisitiza kwamba muda wa kufanya siasa umekwisha kilikochoko ni kusaidia wananchi kufikia maisha bora wanayostahili. Huku Rais Magufuli akisema hayo, chama kikuu cha upinzani…
Rais Magufuli usitumie nguvu kumkabili Lowassa
Rais John Pombe Magufuli alipohutubia mkutano wa hadhara alioufanya Manyoni, amenukuliwa akisema; “Hao wanaotaka kuandamana wataona. Nawaomba watangulie wao wawe mstari wa mbele, wasitangulize watoto wa maskini na wao kujificha hotelini mimi sijaribiwi.” Hii ni kauli ya hatari inayoashiria Amiri…
Trump akalia kuti kavu Marekani
Wakati kampeni za kuwania kiti cha Urais ndani ya Taifa kubwa na tajiri la Marekani zikiendelea kupamba moto tayari mgombea asiyeishiwa vituko wa chama cha Republican Donald Trump amemtaja mshindani wake wa chama cha Democrat Hillary Clinton kuwa ‘shetani’. Akizungumza…
Wakala wamkaidi Prof. Muhongo
Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (Petroleum Bulk Procurement Agency), umekumbwa na kashfa baada ya kutoichunguza kampuni ya msambazaji wa mafuta ya Sahara Energy Resources Limited ya Nigeria. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwa kulikuwa na maelekezo ya kuchunguza chanzo…