Author: Jamhuri
Waliotafuna Sh bilioni 6 watamba mitaani Moshi
Mrajis wa Vyama vya Ushirika nchini, Dk. Audax Rutabanzibwa, kwa miaka mitano sasa, ama ameshindwa, au amepuuza kuandaa mashitaka dhidi ya viongozi wa Chama cha Akiba na Mikopo (SACCOS) cha Wazalendo cha mjini Moshi wanaotuhumiwa kuiba Sh bilioni 6. Miongoni…
Pori la Maswa lazidi kuvurugwa
Wakati uongozi wa Pori la Maswa mkoani Simiyu, ukituhumiwa kupokea rushwa kutoka kwa wafugaji na kuwaruhusu waingize mifugo ndani ya pori hilo, watuhumiwa wawili wamekamatwa na kuachiwa katika mazingira ya kutatanisha. Uchunguzi uliifanywa na JAMHURI umebaini kuwa waliokamatwa na kuachiwa…
Dk. Mwakyembe anaiaibisha PhD
Wiki iliyopita nilikuwa bungeni hapa mjini Dodoma. Niliingia katika ukumbi wa Bunge, nilisikiliza michango ya wabunge kadhaa. Nilimsikiliza Waziri wa Habari, Vijana, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, na wengine wengi. Niseme mapema tu kuwa hapa leo najadili hoja ya Bunge…
Rais Magufuli ukoa hifadhi
Hali ya mapori yote ya hifadhi nchini ni mwetu ni mbaya mno. Miaka michache ijayo, Tanzania itakuwa haijivunii hiki inachojivunia sasa, yaani wingi wa rasilimali za mapori, miti na viumbe wanaoishi humo. Kilio hiki cha uhifadhi tumekuwa tukikiwasilisha kila mara…
Mamilioni yaliwa Chuo cha Mandela
Uongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) iliyopo jijini Arusha, unazidi kuandamwa na kashfa mbalimbali. Safari hii imebainika kuwapo matumizi makubwa ya fedha kwenye ujenzi, utoaji zabuni na ununuzi wa vifaa. JAMHURI imethibitishiwa kuwa ujenzi wa…
‘Miujiza’ nyumba ya Serikali Mbeya
Dalali wa Mahakama, Japhet Kandonga, ameuza nyumba ya Serikali namba 162, kiwanja namba 1103 iliyoko Kitalu ‘S’ eneo la Mafiati Jijini Mbeya kwa Sh milioni 250 kwa mfanyabiashara maarufu wa Dar es Salaam, Saul Henry Amon, na kudai kwamba mnunuzi…