Author: Jamhuri
Mfanyabiashara amlalamikia DC Tunduru
Mfanyabiashara Steven Buhanza anailalamikia Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kwa kile anachodai imeuza shehena ya mbao zake ilhali kesi ikiwa haijatolewa uamuzi. Buhanza, mmiliki wa Kampuni ya Ntiyonza Company Limited ya Dar es Salaam, alikamatwa Oktoba 30, 2012…
Ndugu Rais, Tumekusikia sasa na wewe tusikilize
Ndugu Rais, kuna watu hapa nchini kazi yao ni kukosoa tu! Hata pale jambo jema linapofanyika badala angalau wakae kimya wao watatafuta namna tu mpaka wakosoe. Hata hivyo, wabaya wa mtu siyo wanaomkosoa kwa sababu hawambomoi, bali wanamjenga zaidi kuliko…
Forodha ya pamoja kukuza uchumi EAC – Nyamhanga
Serikali imejenga vituo vya kutoa huduma kwa pamoja mipakani (OSBPs) vinavyolenga kurahisisha taratibu za Forodha, Uhamiaji, usimamizi wa ubora wa bidhaa na huduma, ulinzi na usalama kwa watoa huduma hizo upande mmoja wa mpaka kwa nchi mbili husika. Katibu Mkuu…
Kuporomoka kwa maadili nini chanzo?
Nimesukumwa kuandika makala hii kutokana na ukweli kwamba hatuwezi kujenga taifa lenye maadili mema pasipokuwa na familia zenye maadili mema. Ustawi wa taifa unaanzia nyumbani. Kinyume chake ni kuporomoka kwa taifa kunakoanzia nyumbani. Uhai wa taifa unategemea uhai wa familia….
Mwafrika bado “Le Grande Enfante” (2)
Ghafla juzi juzi wakati Waziri Mkuu keshatoa hotuba yake kuomba fedha kwa ofisi yake, nikashtuka kusikia kuwa Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, badala ya kutoa hotuba mbadala wa ile ya Waziri Mkuu, eti ameongea kwa dakika chache tu…
Video iliyonitoa machozi
Muda ni saa 3:35 usiku wa Ijumaa ya wiki iliyopita. Nimejipumzisha barazani baada ya kupambana na foleni za Dar es Salaam. Simu yangu inaashia kuingia kwa ujumbe wa WhatsApp. Nafungua na kuanza kuusoma: “Kuna njia gani ya kuwapata hawa wanaume…