Author: Jamhuri
Aliyeajiriwa anamtaka kijana akajiajiri
Tatizo la ajira ambalo linaendelea kusumbua nchi nyingi duniani, Tanzania ikiwemo, limegeuka kuwa ajenda kubwa katika mijadala ya aina mbalimbali. Mingi ya mijadala hii inalenga kutoa maoni juu na namna nzuri ya kukabiliana na tatizo hilo. Ajenda kubwa hapa ni…
JOSE CHAMELEONE
Mwanamuziki tajiri Uganda Jose Chameleone yaelezwa kuwa ndiye mwanamuziki anayeongoza kwa utajiri nchini Uganda, akikadiriwa kuwa na utajiri unaofikia Sh bilioni 1.5 za Tanzania. Aidha, anamiliki majengo ya thamani kubwa ya kukodisha (apartments), ziitwazo Daniella Villas, jijini Kampala na studio…
Metacha Mnata na bahati ya mtende
Mpira wa miguu ni mchezo wenye mambo mengi sana. Ndiyo maana soka ina a.k.a nyingi kama Koffie Olomide. Yeye ni Grand Mopao, Papa Fololo, Gangi ya Film, Le Jeune Pato, Quadra Koraman, Songe ya Mbeli, Le Grand Mbakala, Papa Rocky,…
Simba, Yanga lazima zilie
Zitalia sana! Nikukumbushe kwanza. Kikao cha Kamati ya Uongozi cha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kimeridhia baada ya siku 30 pale serikali itakaporuhusu michezo kuendelea, mechi za Ligi Kuu Bara, Ligi Daraja la Kwanza, Ligi Daraja la Pili na Ligi…
Waziri Simbachawene awanyoosha NIDA
Siku chache baada ya Gazeti la JAMHURI kuchapisha habari za uchunguzi kuhusu ulegelege wa Mamlaka ya Vitambulisho Tanzania (NIDA) kushindwa kufanya kazi ya kutoa vitambulisho vya uraia inavyotakiwa kutokana na kuharibika kwa mitambo na hujuma za baadhi ya watumishi, Waziri…
Wafanyabiashara Machinga Complex wadhulumiana
Wafanya-biashara 370 katika Soko la Machinga Complex jijini Dar es Salaam wamebaki katika hali ya sintofahamu baada ya mamilioni ya fedha waliyochanga na kufungua akaunti katika Benki ya Equity Tawi la Kariakoo ili waweze kupata mikopo kushindwa kuwasaidia. Wafanyabiashara hao…




