JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Makamba:Serikali kuboresha maghala ya kuhifadhi mafuta

Na Godfrey Mwemezi,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Nishati,January Makamba amesema kuwa serikali inaendelea na jitihada mbalimbali za kupata wawekezaji watakaojenga Ghala kuu la kupokelea mafuta kwa pamoja ili kuwezesha nchi kuwa na uhakika zaidi wa upatikanaji wa mafuta. Makamba ameyasema hayo tarehe…

Biteko: Ushirikiano Tanzania,Canada katika sekta ya madini umeendelea kuimarika

Waziri wa Madini Dkt.Doto Biteko amesema ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Canada katika sekta ya Madini umeendelea kuimarika hususan katika masuala ya utafiti wa madini. Dkt.Biteko ameyabainisha hayo leo Junuari 19, 2023 mara baada ya kukutana na kufanya mazungumzo…

Diamond Platnumz atangaza kuhamia Yanga

Nasibu Abdul maarufu Diamond Platnumz ambaye ni msanii wa Bongo Fleva nchini,ametangaza kuhamia timu ya Yanga SC amedai kumfuata msemaji Haji Manara. Awali Diamond alikuwa akishabikia Simba SC kabla ya Manara kuondoka kwa wekundu hao wa Msimbazi. Katika sherehe ya…

Serikali yawasaidia wafugaji walioathirika na mabadiliko tabia nchi

Serikali imetoa agizo kwa wafugaji wote nchini kupeleka mifugo yao katika majosho ya serikali yaliyojengwa katika maeneo mbalimbali nchini huku lengo kuu likiwa kuzisaidia jamii zilizoathirika na mabadiliko ya tabia nchi ikiwemo mikoa ya Dodoma,Singida huku ikiwaasa kutunza mazingira ili…