Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania David Concar ,kwenye makazi ya Balozi huyo jijini Dar es Salaam jana.Mpigapicha Wetu