Author: Jamhuri
Rais Magufuli nuru mpya (1)
Toleo Na. 198 la Gazeti la JAMHURI la Julai 14, mwaka huu kwenye ukurasa huu niliandika makala iliyokuwa na kichwa cha habari: “Kwanini sitomsahau Dk. Magufuli”. Maudhui ya makala hiyo yalikuwa kumpongeza yeye binafsi na wana CCM kwa uamuzi wao…
Yah: Ama awe wa kafara au sherehe, mbuzi ni mbuzi tu
Nianze kwa kulitakia afya njema Taifa letu kwa mara ya pili, afya ya amani na upendo, uzalendo uliotukuka na jinsi tunavyoweza kuwadhibiti wachache wenye tabia za ubinafsi na kuleta mtafaruku ya hapa na pale, namshukuru Mungu kwa kuwa ni muumini…
CCM sasa tupeni mabadiliko ya kweli
Nina kila sababu na nia ya kutoa pongezi na kongole kwa Watanzania kumudu kuendesha kampeni ya uchaguzi na kuwachagua madiwani, wabunge na rais kwa njia ya utulivu na amani. Oktoba 25, 2015 imepita, ikiwaacha Watanzania hao katika sura mbili tofauti…
Matokeo ya urais somo kwa CCM
Uchaguzi wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umehitimishwa kwa mujibu wa taratibu zilizopo, na Dk. John Pombe Joseph Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndiye rais wetu mpaka uchaguzi mwingine utakapofanyika. Kwa mara ya kwanza ya historia yake…
Pongezi zangu kwa Dk. Magufuli
“Hayawi, hayawi, yamekuwa”. Kweli hayo ndiyo mapenzi yake Mwenyezi Mungu. Ulimtanguliza mbele wakati wa kampeni zako na sasa yametimia. Kusema kweli kumtanguliza na kumweka mbele Mwenyezi Mungu kuna faida nyingi. Nimezoea kuwaambia watoto wangu kuwa “kama baba awahurumiavyo watoto wamchao”,…
Vigogo chali
Wakati mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, akiongoza kwa kura nyingi za urais dhidi ya mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, vigogo maarufu wenye majina makubwa, wamebwagwa kwenye kinyang’anyiro cha ubunge. Dk….