JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Yah: Sheria ya mitandao na vita ya utamaduni wa Mtanzania

Nimewahi mara kadhaa kuzungumzia juu ya utamaduni wa Mtanzania wa Tanzania, wakati huo nilikuwa sijawahi fikiria kama Serikali yetu ingeweza kuja na njia mbadala wa kutunga sheria ya kudhibiti matumizi ya mitandao ya simu na mifumo ya habari. Kwa kweli,…

Kwa utaratibu huu, rais aliye bora atapatikana kweli?

Nafuatilia kwa karibu matamshi na maandishi ya makundi mbalimbali ya kisiasa yanayounga mkono wagombea urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Mahususi ni kusisitiza kwao sifa za msingi za mgombea urais. Napata maswali mengi, majibu machache.   Kwa sababu ya…

Bila fedha za kutosha maisha ni mzigo

Nilivutiwa sana na mchango wa msomaji mmoja kutoka Arusha aliyeniandikia baruapepe ifuatayo, “Bw. Sanga nakupongeza sana kwa makala zako. Unaandika ujasiriamali na mambo ya kujitambua in unique style kiasi kwamba kila ninaposoma makala zako napata ladha na impact kubwa mno….

Simba yaonywa usajili

Wakati tetesi za usajili zikizidi kushika kasi nchini katika klabu mbalimbali, uongozi wa Wekundu wa Msimbazi  Simba Sports Club ya Dar es Salaam, umeonywa kuwa makini katika jambo hilo. Simba inayohaha kushika angalau nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi…

Cannavaro afufua matumaini, Yanga ikiifuata Etoile

Matumani ya kufanya maajabu ugenini kwa upande wa Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, yamefufuka baada ya taarifa za kitabibu kusema Nahodha wa kikosi hicho, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, atakuwa fiti kuwakabili Waarabu. Yanga wanaotarajiwa kuondoka nchini kesho Jumatano kwenda…

Wakenya wavamia Tanzania

Mamia ya raia wa Kenya wanaishi kinyemela katika kata za Tarafa ya Loliondo, Ngorongoro mkoani Arusha.  JAMHURI imeendesha uchunguzi kwa wiki kadhaa sasa na kupata majina zaidi ya 280 ya Wakenya wanaoishi Ngorongoro, hasa katika Tarafa ya Loliondo. Orodha hiyo…