JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Polisi haijachukua hatua kifo cha kemikali

Polisi wilayani Kisarawe, mkoani Pwani hawajachukua hatua yoyote kuhusiana na kifo cha mtu mmoja na wengine kujeruhiwa baada ya kunywa pombe iliyotokana na kemikali. Siku kadhaa zilizopita JAMHURI liliripoti tukio la Mwalimu Ladislaus Mkama, mtaalamu wa kemia katika Shule ya…

TASAC yawakumbuka walemavu Nduguni

Wakala wa Meli Tanzania (TASAC) wametoa vifaa vyenye jumla ya Sh milioni 10 kwa kikundi cha watu wenye ulemavu cha Tanzanite Disabled Group Art cha Kata ya Nduguni, mkoani Dar es Salaam. Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo, Mkurugenzi wa…

Kisarawe wanufaika na kampeni ya afya

Jopo la madaktari kutoka mikoa ya Pwani na Dar es Salaam wakiongozwa na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Dk. Stanford Mwakatage, wamefanya kampeni maalumu ya kutoa matibabu na upasuaji kwa gharama nafuu kwa wananchi wa wilaya hiyo. Dk. Mwakatage…

Uchaguzi Mkuu usituvuruge

Leo tunaumaliza mwaka 2019 na kesho tutaingia mwaka 2020, ambao tunaamini utakuwa ni mwaka utakaotawaliwa na harakati za kisiasa, ikizingatiwa kuwa ni mwaka ambao Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu. Kwanza, tuwatakie Watanzania wote heri ya mwaka 2020, tukiwaombea kwa Mungu wapate…

KIJANA WA MAARIFA (9)

Jifunze zaidi uongeze uzalishaji Katika chuo kimoja cha kujifunza karate lilitolewa tangazo la vijana waliopenda kujiunga na kozi ya karate wafanye usajili na kuanza kozi hiyo katika mwaka mpya wa masomo. Wolfgang akiwa kijana aliyehitimu masomo ya uzamili alikuwa ni…

Uamuzi wa Busara (5)

Katika sehemu ya nne tuliishia katika aya isemayo: Kama serikali ingelikubali azimio hilo lililobadilishwa, Dar es Salaam pasingekuwa na uchaguzi mwaka 1958. Ndiyo kusema Mwalimu Nyerere angeendelea kukaa katika Baraza la Kutunga Sheria kwa kuteuliwa na gavana ingawa baraza hilo…