JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Yah: Sasa litolewe tamko

Naanza na salamu kama Mtanzania mwenye uzalendo.  Watu wengi hawaelewi maana halisi ya uzalendo. Inawezekana hata mimi nikawa miongoni mwao, kwa maana ya leo ambayo inazungumzwa na wanasiasa wengi vijana na walioibuka katika uwanja wa siasa kama sehemu ya ajira….

Kunahitajika chombo cha kitaifa kuratibu shughuli za Serikali

Awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema na wingi wa neema, lakini pia kutupatia uwezo na nguvu kusimamia na kutumia rasilimali zilizopo kwa faida ya kizazi hiki na kijacho. Tanzania imejaliwa kupata rasilimali na…

Msondo Ngoma ilikotoka (1)

Baadhi ya watu inawezekana wakawa wamekwisha kusahau kwamba kabla na baada ya Uhuru wa Tanganyika zilikuwepo bendi nyingi lakini mara baada ya Uhuru kuliundwa bendi iliyopewa jina la NUTA Jazz. Mwaka huu inatimiza miaka 55 tangu ianzishwe mwaka 1964 katika…

Mitego kwa makocha wageni 2019/2020

Msimu mpya wa Ligi Kuu Bara umeanza hivi karibuni kwenye viwanja mbalimbali huku ukiwa na mvuto wa aina yake. Ndiyo msimu wa mwisho wenye timu 20, kwani kwa mujibu wa waandaaji, kuanzia msimu ujao timu hizo zitapungua kwa matakwa ya wadhamini….

CWT inavyopigwa

Maji yanazidi kuchemka ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT), huku mkataba wa kinyonyaji wa mshauri wa mradi wa ujenzi na madeni kwenye Mfuko wa Jamii wa PSPF, yakiwa ni miongoni mwa mambo yanayoendelea kwenye chama hicho.  JAMHURI limebaini CWT…

‘Tumeuza kila tulichonacho, hatuwezi kutoka Muhimbili’

Mkazi wa Wilaya ya Songea Vijijini, mkoani Ruvuma, Sijawa Jafar, mwenye umri wa miaka 35 ameiomba serikali na wadau mbalimbali kujitokeza kumsaidia kulipia gharama za matibabu ya mumewe katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili zinazofikia Sh milioni 3.7, baada ya…