JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Yah: Nguvu ya hoja kuwa nguvu ya haja

Nianze na salamu japo si lazima sana kwa kizazi hiki chenye akili nyingi zisizokuwa na matokeo chanya kwa maendeleo ya taifa lao, najua nitalaumiwa sana kwa kauli yangu lakini ni heri ya nusu shari kuliko shari kamili, nimeamua kusema ili…

Gamboshi: Mwisho wa dunia (6)

Wiki iliyopita katika sehemu ya tano hadithi hii iliishia katika aya inayosema: “Lile limama lilinichukua likaniangalia kwa makini, likawa linasema: “Kanafanana nasi, umekapata wapi?” Lile litoto likasema: “Nimekaokota huko porini karibu na mpaka wa himaya yetu.” “Sasa unasemaje?” Lile limama likauliza…

SKIIBII kafufuka baada ya kujiua kimuziki 

‘Hivi ndivyo mtu mashuhuri hufanya’. Ni jina la wimbo wa msanii wa Nigeria, Abbey Elias, maarufu kama Skiibii Mayana ama Swaggerlee, unaomtambulisha katika soko la muziki nchini humo na pande za dunia kwa sasa. Pamoja na umaarufu ambao umeanza kumvaa…

Watanzania wapewa somo

Wadau mbalimbali nchini wametoa maoni yao mara baada ya wiki iliyopita Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kumtangaza Ettiene Ndayiragije kuwa kocha mkuu wa muda wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars. Kocha huyo anachukua mikoba iliyoachwa na…

Matokeo ya kidato cha SITA mwaka 2019

Yatazame kwa urahisi matokeo ya kidato cha SITA mwaka 2019 hapa>>> https://matokeo.necta.go.tz/acsee/acsee.htm

Waliomdanganya JPM kibao chageuka rasmi

Miezi miwili tangu aliyestahili tuzo ya mfanyakazi bora wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), James Kunena, kupokwa fursa hiyo saa chache kabla ya kutunukiwa na Rais Dk. John Magufuli katika kilele cha mwaka huu cha Mei Mosi, hali si shwari…