Author: Jamhuri
TAKUKURU yakutana na wadau sekta ya afya Bunda
Wadau mbalimbali wa sekta ya Afya wilayani Bunda, wamesema wako tayari kushirikiana na TAKUKURU kudhibiti mianya ya rushwa katika utoaji wa huduma za afya pindi wanapotumia mifumo ya kielektroniki ya utoaji huduma hizo. Ahadi hiyo imetolewa katika warsha iliyoandaliwa na…
Mzabuni Manyoni kizimbani kwa tuhuma za kutoa nyaraka za uongo na kughushi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyoni Kesi ya Jinai Na. 3454/2026 imefunguliwa Februari 18, 2026 katika Mahakama ya Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida, dhidi ya Bw. Herbert Matiko Tugara, Mzabuni wa Kampuni ya ‘Herver General Services’. Mshtakiwa anakabiliwa na shtaka la…
DC Bunda awaasa wadau sekta ya afya kutoa ushirikiano kwa TAKUKURU
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa warsha ya wadau wa Sekta ya Afya na TAKUKURU, Mhe. Aswege Enock Kaminyoge, Mkuu wa Wilaya ya Bunda ambaye pia alikuwa Mgeni Rasmi katika warsha hiyo, amewaasa wadau hao kuendelea kutoa ushirikiano kwa TAKUKURU wakati…
Mbunge wa Tunisia afungwa miezi nane jela kwa kumdhihaki rais
Mahakama ya Tunisia imemhukumu mbunge mmoja kifungo cha miezi minane jela kutokana na kuchapisha mitandao ya kijamii akimkejeli Rais Kais Saied kufuatia mafuriko yaliyosababisha vifo vya hivi karibuni. Ahmed Saidani alikamatwa mapema mwezi huu baada ya kuchapisha kwenye mitandao ya…
Mwadhamana Polycarp Kardinali Pengo 1994- 2026
Kardinali Polycarp Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar-es-Salaam (Tanzania), alizaliwa tarehe 5 Agosti 1944 katika parokia ya Mwazye, Jimbo Katoliki Sumbawanga, Tanzania. Kuanzia mwaka 1959 hadi 1964 alipata elimu yake ya sekondari katika seminari ndogo ya Kaengesa….
TIRDO yapongezwa, yaagizwa kujitangaza zaidi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Balozi Waziri Salum, amelipongeza Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) kwa kazi kubwa linayofanya katika kukuza ubunifu na sekta ya viwanda nchini,…





