Author: Jamhuri
Nyamka awashauri wananchi kuchagua mafiga matatu CCM, asisitiza ni msingi wa maendeleo
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kibaha Mjini, Mwalimu Mwajuma Nyamka, amewaasa wananchi wa Kata ya Pichandege kuhakikisha wanachagua mafiga matatu kutoka CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025,huku akisisitiza kufanya hivyo ni msingi…
Kura yako, mustakabali wa taifa
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mchakato wa Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania ni safari ndefu iliyohusisha maandalizi ya daftari la wapiga kura, uteuzi wa wagombea, kampeni na hatimaye upigaji kura. Kila hatua inabeba uzito wake, lakini kilele cha safari…
Dk Samia: Tanga kaeni mkao wa kula
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka wakazi wa Mkoa wa Tanga kukaa ‘mkao wa kula’ kutokana na mipango ya miradi ya maendeleo itakayoufungua mkoa huo. Amesema akipewa tena ridhaa ya kuiongoza…
Serikali ya Hungary yasaini mikataba ya maendeleo Tanzania na kufungua ofisi za ubalozi nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMediaDar es Salaam Serikali ya Tanzania na Hungary, Wamesaini hati ya Mkataba wa hati Mashirikiano kuhusu ujenzi wa Mradi wa Usambazaji Maji kutoka Ziwa Victoria katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera. .Hati hiyo ya Makubaliano ni kati…
Samia azidi kumwaga neema,kujenga reli ya Tanga-Musoma, kupanua bandari
Na Kulwa Karedia, Jamhuri Media-Tanga MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema amejipanga kuongeza upanuzi wa Bandari ya Tanga ambao utakwenda sambamba na ujenzi wa reili ya kisasa kutoka Tanga-Arsuha mpaka Musoma yenye urefu wa kilomita…