Author: Jamhuri
Afrika bara kubwa lenye changamoto nyingi
Kijiografia Bara la Afrika ni miongoni mwa Mabara sita yanayo unda Ulimwengu huu likiwa ni la pili kwa ukubwa wa maili za mraba zipatazo 11,700,000 sawa na asilimia 22% za eneo lote la dunia. Bara hili la Afrika linafahamika kama…
Ndugu Rais, Kassim Majaliwa tumaini pekee lililobakia!
Ndugu Rais, kwa unyenyekevu mkubwa tunakuja mbele yako kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyekuongoza vema mpaka ukatuletea Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wetu! Kwa hili baba ubarikiwe sana! Umakini wake mtu huyu umeyarudisha matumaini ya Watanzania wengi waliokuwa wameanza kuichoka awamu ya…
Mchango wa Castro katika ukombozi wa Afrika
Ulimwengu umeshtushwa na kifo cha Fidel Castro Ruz, aliyeongoza mapinduzi ya Cuba. Hata hivyo, wachache walishangazwa, kwani Aprili, mwaka huu Castro aliuambia Mkutano Mkuu wa Chama cha Kikomunisti kuwa wakati wake umefika, hasa kwa vile alikaribia umri wa miaka 90…
โDemokrasia siyo mchezo wa kutazamwa tuโ (2)
Kumbe wananchi 7,565,330 hawakujitokeza kutumia hiyo haki yao ya kidemokrasia kuchagua viongozi wao. Je, hawa wasiopiga kura kweli wote walikuwa na sababu za msingi kutokupiga kura zao? Tunajua kati ya hao watu 7,565,330 wapo waliotangulia mbele ya haki, wapo waliokuwa…
Hatukumtendea haki Komredi Fidel Castro
Mwaka 2006 nilipata fursa adhimu ya kuzuru nchini Cuba. Hii ni miongoni mwa safari nitakazokumbuka daima. Nimekuwa miongoni mwa wafuasi wa siasa za Fidel Castro na wana mapinduzi aina ya Che Guevara. Tangu nikiwa shule ya msingi nilipenda mno kupata…
Yah: Sasa tumenyooka mkuu tukunje utupange utakavyo
Tarehe kama ya leo mwaka jana tulianza kufurahia madaraka yako, uliisha tumbua majipu kadhaa ambayo wengi wetu tuliamini kwamba mambo yanakwenda vizuri kabisa, kwa upande wangu bado naamini ili furaha bado haijapotea. Tarehe kama ya leo ulikuwa ukingoni kulitangaza baraza…