JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Samia aingia Pangani kusaka kura

Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tayari ameshawasili Pangani kwenye uwanja wa Gombelo mahali ambapo mkutano wa kampeni  utafanyika na atawahutubia wana CCM na wananchi waliojitokeza kwa wingi ili kumsikiliza.  Rais Dkt. Samia pia…

Ukraine haionyeshi nia ya kurejea kwenye mazungumzo na Urusi

Msemaji wa Ikulu ya Kremlin Dmitry Peskov amesema Kyiv haijawahi kuonyesha nia ya kurejea kwenye mazungumzo kati ya Urusi na wajumbe wa taifa hilo. Peskov alisema hayo katika mahojiano na Shirika la habari la serikali la Urusi RIA yaliyochapishwa siku…

Netanyahu kukutana na Trump huku ukosoaji ukimuelemea

Rais wa U.S Donald Trump anatarajiwa kukamilisha pendekezo la mpango wa amani wa Gaza anapokutana Jumatatu na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, huku Israel ikizidi kuishambulia Gaza City. Tawi hilo la kijeshi la Hamas kupitia Brigedi zake za Al-Qassam…

CCM imetuheshimisha wanawake, UWT tunatafuta kura za kishindo za Dk Samia – Chatanda

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WENYEVITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amesema UWT inashukuru sana maamuzi yaliyofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumpitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya…

Dk Biteko awapa heko wachimbaji wa madini

 Mchango wa wachimbaji wadogo wa madini waongezeka kutoka 20% mwaka 2020 hadi 40% mwaka 2024  Teknolojia za kisasa za uchenjuaji madini zatajwa kuwa na tija kuliko matumizi ya zebaki  Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa ajili ya maendeleo ya sekta…

Samia kujenga uwanja wa michezo Msoga

Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema atajenga uwanja wa kisasa wa michezo katika eneo la Msoga wilayani Chalinze mkoani Pwani kama atashinda uchaguzi mkuu. Rais Samia ametoa kauli hiyo, leo Septemba 28, 2025 aliposimama kuzungumza…