Author: Jamhuri
Marekani yaidhinisha dawa mpya ya kuzuia virusi vya UKIMWI
Taasisi ya kudhibiti dawa ya Marekani imeidhinisha dawa mpya ya kuzuia virusi vya Ukimwi. Dawa hiyo inayofanya kazi kwa muda mrefu, Lenacapavir, inahitaji tu kutumika mara moja kila baada ya miezi sita na mwenyekiti wa ugunduzi wake, Daniel O’Day amesema…
MOI yafungua milango ya tiba kwa wananchi wa Kanda ya Kati
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Wakati changamoto ya upatikanaji wa huduma za kibingwa ikiendelea kuwakabili baadhi ya Wananchi wa mikoa ya pembezoni, Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imechukua hatua ya kuwafuata wananchi huko waliko kupitia huduma za kliniki tembezi,…
Jenerali Mabele: Mafunzo JKT yanalenga kuwajenga vijana kuwa wakakamavu na wazalendo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele amewatoa hofu vijana wanaojiunga na mafunzo ya jeshi kuwa hakuna mateso kwani mafunzo hayo yanalenga kuwajenga kuwa wakakamavu na wazalendo kwa taifa. Mkuu huyo…
Israel yaendelea kufanya mashambulizi Iran
ISRAEL imesema alfajiri ya leo kuwa inaendelea kufanya mashambulizi ndani ya Iran ikiwemo kwenye mji mkuu Tehran. Hayo ni wakati duru kutoka Marekani zinasema Washington inajiandaa kuishambulia Iran mnamo siku za karibuni. Jeshi la Israel limetoa indhari ya kuondoka kwa…
Waendelezaji mradi wa kuzalisha umeme Lupali Njombe waelekezwa kuimarisha ulinzi na usalama wa mradi
📌Waishukuru REA kwa uwezeshaji wa zaidi ya shilingi bilioni 4.3 📌Utekelezwaji wake wafikia 97.5% Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu ameelekeza waendelezaji wa mradi wa kuzalisha umeme wa kilowati 317 kwa kutumia maporomoko…





