Author: Jamhuri
Balozi Kombo, Manaibu wake wapokelewa ofisi za Wizara ya Mtumba
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) wamepokelewa katika Ofisi za Wizara zilizoko Mji wa Serikali Mtumba baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia…
TARURA yaboresha miundombinu kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabiachi
Belem, Brazil Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) inaendelea kuimarisha usimamizi wa mazingira kwa kujenga miundombinu thabiti ikiwemo madaraja ili kukabiliana na athari za mafuriko yanayotokana na mabadiliko ya tabianchi. Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu,…
Waziri Aweso ahimiza matokeo kwa watumishi sekta ya maji
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amewataka watumishi wa Sekta ya Maji nchini kuthibitisha imani ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa utendaji kazi wenye matokeo. Aweso ametoa kauli hiyo Jijini Dodoma…
Milango ya uwekezaji nishati safi ipo wazi
Na Mwandishi Wetu Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Peter Msoffe amesema milango ya uwekezaji wa nishati safi ya kupikia ipo wazi kwa wadau wanaotaka kuwekeza. Amesema hayo ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake na wadau…
Dk Kijaji : Tujali utu wa Mtanzania
Na Saidi Lufune, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dk. Ashatu Kijaji (Mb), amewataka watumishi wa wizara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kuhakikisha wanazingatia maslahi na utu wa Mtanzania wanapotoa huduma kwa wananchi. Dk. Kijaji ameyasema…





