JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Zaidi ya leseni 4,000 kutolewa Mbogwe

ZAIDI ya leseni 4,000 zipo katika utaratibu wa kutolewa katika maeneo manne ya Mkoa wa Kimadini Mbogwe mkoani Geita, huku wazawa na wawekezaji kutoka nje wakitakiwa kuchangamkia fursa zilizopo mkoani humo. Akizungumza katika mahojiano, Afisa Madini Mkazi wa Mbogwe, Mhandisi…

Tanzania, Barbados kuimarisha ushirikiano

📌 Dkt. Biteko afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Barbados 📌 Wakubaliana kuwekeza katika Ushirikiano Sekta ya Utalii na Maji 📌 Nishati Safi ya Kupikia, M300 kivutio cha mazungumzo Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri…

Mkenda: Tutaendelea kuimarisha ushirikiano sekta ya nguo na mavazi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imesema itaendelea kuimarisha ushirikiano kati yao, viwanda na wabunifu ili kufanikisha maendeleo katika sekta ya nguo na mavazi. Hayo yameelezwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, katika Kongamano…

Simba yaifanyia umafia Dodoma Jiji, yainyuka 6 -0

Timu ya Klabu ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo a Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge, Dar…

Tanzania, Ireland kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo

Tanzania na Ireland zimeazimia kuimarisha ushirikiano katika nyanja mbalimbali za maendeleo na uchumi ili kukuza uhusiano wa kidiplomasia, biashara, na uwekezaji kati ya Nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa mazungumzo rasmi kati ya Waziri wa Mambo ya Nje…

Kamati ya Bunge yaridhishwa na utendajikazi wa TPA bandari ya Tanga

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu imesema imeridhishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) katika Bandari ya Tanga hasa baada ya maboresho makubwa ya miundombinu yaliyofanywa na Serikali bandarini…