Author: Jamhuri
Prof. Shemdoe, Balozi wa Tanzania Ufaransa wajadili mikakati kuvutia uwekezaji Bonde la Msimbazi
Na OWM – TAMISEMI, Ufaransa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amekutana na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe.Ali Mwadini, kujadili mikakati ya kuvutia na kutafuta wawekezaji katika eneo la Bonde la Msimbazi…
Waziri Mkuu : Katavi kufunguliwa kwa lami pande zote
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imedhamiria kujenga barabara zote zinazounganisha mkoa wa Katavi kwa lami ili kuufanya mkoa wa kimkakati na kibiashara. Amesema hayo koani Katavi alipoweka jiwe la msingi ujenzi wa…
Serikali yasisitiza utekelezaji asilimia 30 ya zabuni kwa makundi maalum
Na Oscar Tarimo, WMJJWM, Morogoro Serikali imeendelea kusisitiza utekelezaji wa kutenga asilimia 30 ya zabuni za umma kwa makundi maalum ili kuongeza ushiriki wa makundi hayo katika shughuli za kiuchumi na kuchochea maendeleo jumuishi nchini. Akizungumza leo tarehe 13 Machi…
Dk Dimwa : Awataka UVCCM kwenda na wakati sayansi na teknolojia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dkt. Mohamed Said Dimwa, ameitaka Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kuendeleza utamaduni wa kuwajengea uwezo wa kitaaluma na kiuongozi vijana ili kuandaa kizazi cha viongozi na watendaji bora wa…
Masoko ya Madini Tanzania; wazi, fursa na utajiri
Na Wizara ya Madini Kabla ya mwaka 2019, biashara ya madini ya dhahabu na vito nchini Tanzania, hususan kwa wachimbaji wadogo na wafanyabiashara, ilifanyika bila kuwepo kwa maeneo rasmi ya kukutana. Hali hiyo ilisababisha kutokuwepo kwa uwazi katika bei, udanganyifu…





