JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Pinda: Kupatikana matibabu ya kibingwa ya moyo nchini kumewaokoa wengi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kupatikana kwa huduma za kibingwa za matibabu ya moyo hapa nchini kumewasaidia wananchi wengi kupata huduma hizo kwa wakati na hivyo kuokoa maisha yao. Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba…

Mwenge wa Uhuru wazindua miradi ya bilioni 44.1 Ilala 

Na Heri Shaaban, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenge wa Uhuru wazindua miradi saba ya maendeleo Wilayani Ilala yenye thamani ya shilingi bilioni 44.1 na kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Isimail Ally Ussi.  Akizungumza katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru…

Waziri Mkuu ahani msiba wa Mzee Mongela

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Juni 3 amehani msiba wa Mzee Silvin Ibengwe Mongella ambaye ni mume wa Mama Getrude Mongella, nyumbani kwa marehemu Makongo Juu jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Jukumu la kupandisha mishahara ni la mwajiri- Serikali

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema jukumu la kuwapandisha vyeo watumishi ni la mwajiri husika. Kauli hiyo imetolewa leo bungeni na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu alipokuwa akijibu swali la…

Wabunge wapitisha bajeti Wizara ya Afya, kuhakikisha mifumo hospitali kusomana

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wabunge leo Juni 3, 2025 wamepitisha bajeti ya Wizara ya Afya yenye makadirio ya Sh 1,618,191,235,000.00, ili kuweza kutekeleza malengo na vipaumbele iliyojiwekea kwa mwaka 2025/26. Jana Waziri wa Afya Jenista Mhagama, aliwasilisha bungeni hotuba…

Aliyefungwa arejea na mgogoro mpya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Licha ya kuhukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kosa la kutishia kuua kwa panga, Albert Midimito, maarufu kwa jina la Chemli, amerudi kijijini na kuibua mgogoro mpya wa ardhi unaohusisha familia yake, huku mjane…