Author: Jamhuri
Padri Kitima aongoza misa ya shukrani baada ya kutoka hospitalini
Na Pascal Mwanache, TEC Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, ameongoza Misa Takatifu ya shukrani kwa mara ya kwanza leo, Juni 3, 2025, baada ya kutoka hospitalini alikokuwa amelazwa kwa takribani mwezi mmoja…
Raia wa Korea Kusini wamchagua rais mpya
Mamilioni ya raia wa Korea Kusini wanapiga kura hii leo kumchagua rais mpya katika uchaguzi wa mapema baada ya Rais Yoon Suk Yeol kuondolewa madarakani. Kura zote za maoni zimemuweka mbele mgombea wa kiliberali, Lee Jae-myung, huku utafiti wa karibuni…
Bill Gates atangaza kuipatia Afrika Dola bilioni 200
Bilionea wa Marekani Bill Gates ametangaza leo Jumanne kwamba kiasi kikubwa cha mapato ya Wakfu wa Gates ya dola bilioni 200 kitatumika barani Afrika katika kipindi cha miongo miwili ijayo. Gates, ambaye Mei 8 alisema kuwa ataufunga wakfu huo ifikapo…
CCM ni jiwe kuu la pembeni
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dodoma Leo naandika makala hii baada ya kutoka kanisani. Imenifikirisha nikiwa kanisani, hasa baada ya kukomunika katika kipindi cha ukimya, nikajiuiza hii habari ya CCM kuzindua Ilani yake ya 2025 – 2030 niandikeje? Nikajiuliza mafanikio makubwa…
Vitongoji 284 Arumeru Mashariki vyafikia na umeme
📌 Ni kati ya Vitongoji 330 vya Jimbo la Arumeru Mashariki. 📌Kapinga asema upelekaji umeme unafanyika kwa awamu kulingana na upatikanaji wa fedha Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imevifikishia huduma…
Bodi ya Wadhamini TANAPA yaja na ‘Utalii wa Michezo’
Na Joe Beda, JanhuriMedia, Mara Katika harakati za kuongeza idadi ya watalii na kipata cha taifa, Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) imeelekeza uongozi wa shirika kutekeleza mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Gofu. Uwanja kwa…





