Author: Jamhuri
Dk Nanauka azindua mitaji ya kuwezesha utekelezaji wa miradi iliyoibuliwa na vijana wa BBT – uvuvi
………………………………………………. Na Hellen Mtereko,Mwanza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Nanauka amezindua programu ya kuwezesha mitaji kwa vijana watakaotekeleza miradi ya ufugaji samaki kwa njia ya vizimba. Hafla hiyo imefanyika leo Jumamosi Machi 07, 2026…
Kikwete : Maendeleo ya kiuchumi hayawezi kupatikana bila kuwepo kwa amani na utulivu
Na Mwandishi Maalum Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema maendeleo ya kiuchumi hayawezi kupatikana bila amani na utulivu, hivyo ni wajibu wa kila mwananchi kuhakikisha analinda na kudumisha…
Tanzania yaadhimisha Siku ya Iora kwa kupanda miti Mtumba na kufanya mazoezi mepesi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Tanzania imeungana na Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Bahari ya Hindi (IORA) kuadhimisha miaka 29 ya kuanzishwa kwa jumuiya hiyo katika hafla iliyofanyika katika mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma ambapo miti ya Matunda na Kivuli imepandwa. Akiongoza maadhimisho…
TTCL yaadhimisha Siku ya Wanawake kwa kutoa msaada JKCI
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WANAWAKE wa Shirika la Mawasiliano Tanzania ( TTCL) wameungana na Wanawake wengine kuadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kutoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa watoto wenye matatizo ya moyo waliolazwa Taasisi ya Moyo…
Wananchi Dodoma waishauri TBA kujenga nyumba za kupangisha kwa watu binafsi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Baadhi ya wananchi waliotembelea banda la Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) katika Kliniki maalum ya kutatua kero za wananchi iliyofanyika katika viwanja vya Nyerere Square, jijini Dodoma, wameshauri Wakala kuanza kujenga nyumba za makazi kwa…





