Author: Jamhuri
Kampeni ya msaada wa kisheria yapigilia msumali sheria na utatuzi wa migogoro ya ardhi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze Ofisa Ardhi Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani, Baltazar Mitti, ameeleza kuwa kero nyingi za migogoro ya ardhi zinatokana na wananchi kutokuwa na uelewa wa kisheria, hali inayosababisha kutapeliwa au kudhulumiwa. Akitoa elimu kuhusu Sheria ya…
Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, Wizara ya Nishati yajivunia kulinda haki, usawa
📌 Wizara ya Nishati yajivunia jitihada katika kulinda haki, usawa na kuwawezesha wanawake 📌 Kapinga asema lengo ni kuboresha ustawi wa mwanamke na kuongeza thamani yake. Katika kuelekea maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025, yenye kaulimbiu “Wanawake…
Wasira atoboa siri
*Asema CHADEMA walionyesha ubinafsi bila kujali masilahi ya Watanzania wote *Walitaka wao na CCM pekee washirikiane kuandika Katiba mpya *Asema ‘No reforms, no election’ ni ndoto na kinyume cha Katiba, sheria za nchi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMwedia, Dar es Salaam Hatimaye siri…
Trump asitisha misaada yote ya kijeshi ya Marekani kwa Ukraine
Rais wa Marekani Donald Trump amesitisha misaada yote ya kijeshi kwa Ukraine kufuatia mzozo wake na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy wiki iliyopita, amesema afisa wa Ikulu ya White House. “Rais Trump amekuwa wazi kuwa anataka amani. Tunataka pia washirika…
‘Toeni maelezo sahihi kupata msaada wa kisheria’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini amewashauri wananchi wenye changamoto mbalimbali za kisheria kutoa maelezo sahihi ili kuwasaidia watoa huduma za msaada wa kisheria kupitia kampeni ya Mama Samia Legal Aid kutatua changamoto…