JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Sheria kuitambua maabara Tume ya Madini

• Mbioni kupata Ithibati Maabara ya Tume ya Madini sasa imetambulika rasmi kisheria na ipo mbioni kukamilisha mchakato wa kupata Ithibati. Maabara hiyo ya Tume ya Madini iliyopo Msasani jijiini Dar es Salaam ambayo kwa sasa inatambulika kisheria inafanya kazi…

Tanzania yavunja rekodi ongezeko la wanyamapori

Na Emmanuel Buhohela – Dodoma Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema ongezeko la idadi ya Wanyamapori katika hifadhi za Wanyama hapa nchini imetokana na juhudi za serikali kushirikisha wadau wa uhifadhi wa Wanyamapori na wananchi…

Airpay yakabidhi Vishkwambi zitakavyotumiwa na ZEEA katika usajili, uombaji mikopo kidijitali

KAMPUNI ya Airpay imekabidhi vishkwambi kwa Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (ZEEA) ili viweze kutumika katika usajili na uombaji wa mikopo kwa njia ya kidijitali. Airpay na ZEEA kwa kushirikiana na taasisi nyingine za kifedha imetengeneza mfumo wenye lengo la…

Mchezaji wa gofu wa klabu ya Gymkhana aibuka bingwa michuano ya Lina PG Tour

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MCHEZAJI wa gofu wa kulipwa kutoka klabu ya Gymkhana Dar es Salaam, Fadhili Nkya ameibuka bingwa katika michuano ya Lina PG Tour yaliyofanyika katika viwanja vya gofu vya Gymkhana, Morogoro jana. Michuano hiyo…

Makamu wa Rais afungua kongamano la wanawake Kanda ya Magharibi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Watanzania kukemea vitendo vya ukatili ulioshamiri dhidi ya wanawake na watoto na kuhakikisha hatua stahiki zinachukuliwa dhidi ya wahusika. Makamu wa Rais ametoa wito…