JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mahakama Kisutu yafungwa mikono kusikiliza kesi ya kusambaza uongo inayomkabili Dk Slaa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema imefungwa mikono kusikiliza kesi ya kusambaza taarifa za uongo inayomkabili aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt.Wilbroad Slaa kwa kuwa upande wa Serikali umekata rufaa mbili katika Mahakama ya Rufaa. Hayo yameelezwa leo na Hakimu…

Watanzania kunufaika na soko la ajira Qatar

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Hatua hiyo imefikiwa mara baada ya Waziri wa nchi, ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete kuhudhuria katika mkutano wa kimataifa kuhusu soko la ajira uliofanyika…

Gavana Tutuba: Rejesheni mikopo kwa wakati, wengine wanufaike

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emanuel Tutuba ametoa wito kwa Wafanyabiashara na wananchi wanaopata fursa ya mikopo ya serikali waweze kurejesha ili wengine nao waweze kukopa. Wito huo ameutoa leo Januari…

NMB yavunja rekodi ya ufanisi kwa matokeo ya kihistoria mwaka 2024

Matokeo haya mazuri ya kifedha yamechagizwa na utekelezaji makinii wa mkakati wa benki na uwekezaji endelevu katika kutumia uwezo wa teknolojia za kidijitali: Benki ya NMB iliendeleza kasi ya ukuaji, ikipata matokeo ya kipekee ya kifedha na kiutendaji, yaliyochochewa na…

Serikali yachukua hatua kulinda mazingira ya bahari

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Yusuf Masauni amesema Serikali ya Tanzania imechukua hatua za kuimarisha maeneo ya bahari yaliyohifadhiwa. Amesema hatua hizo zimesaidia kukuza usimamizi endelevu wa uvuvi na kuongeza uwezo wa kuzuia…