Author: Jamhuri
Kiongozi wa M23 : Hatuondoki Goma, tunaitaka Kinshasa
Kiongozi wa kisiasa wa kundi la waasi la M23 Corneille Nangaa ameapa kuwa wapiganaji wake hawatauachia mji wa Gomana kudokeza kuhusu azma ya kusonga mbele hadi mji mkuu Kinshasa. Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi. Waasi wanaoungwa mkono na Rwanda ambao…
Kisanduku cheusi cha ndege iliyoanguka Washington DC chapatikana
Maafisa wamepata kifaa cha kurekodi data na kinasa sauti cha ndege, kinachojulikana kama kisanduku cheusi, kutoka kwa ndege ya American Airlines, chanzo kilithibitishwa na mshirika wa BBC wa Marekani CBS News. Kisanduku cheusi kinaweza kusaidia kutoa vidokezo kuhusu kile ambacho…
Biashara saa 24 kuanza Februari 22
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema uzinduzi rasmi wa biashara kwa saa 24 utafanyika Februari 22, 2025 na utaanzia eneo la Ofisini za Mkuu wa Mkoa hadi Kariakoo kuwa…
Wawili wafariki kwa mvua Moro
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Watu wawili wanaume wamefariki dunia kwa nyakati tofauti kutokana na athari za maji yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Morogoro. Kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Alex Mkama amethibitisha Janauri…
Milioni 466 kutolewa kwa vikundi Mafia
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Kiasi cha Shilingi Milioni 466 zinatarajiwa kutolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana, na Watu wenye Ulemavu kama mkopo wa asilimia 10 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mafia. Akikabidhi hundi kwa vikundi vya wanufaika wa mkopo…