Author: Jamhuri
Mbaroni kwa kumuua mpenzi wake kwa kumkatakata na wembe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Shinyanga Polisi mkoani Shinyanga inamshikilia Pendo Medusela (37), mkazi wa Manispaa ya Shinyanga, kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake, Timithoy Magesa (35), kwa kumkatakata kwa wembe sehemu mbalimbali za mwili wake kwa kile kilichodaiwa ni kutokana…
Jeshi la Urusi ladai kuteka kijiji kingine cha Ukraine
Jeshi la Urusi limedai kukikamata kijiji kingine kwenye jimbo la Dnipropetrovsk na kuzidi kuingia kwenye maeneo ya Ukraine, huku hatua za kupatikana kwa makubaliano ya amani kwa mara nyingine zikikwama. Wizara ya Ulinzi ya Urusi imeesema vikosi vyake vimeteka eneo…
M23 yaishtumu Serikali kutumia mamluki kushambulia ngome zao
Mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yamechukua sura mpya baada ya waasi wa M23 kuishutumu serikali kwa kutumia mamluki wa kigeni kushambulia maeneo wanayoyadhibiti, ikiwemo eneo la makazi la Kadasomwa, lenye migodi katika wilaya ya Kalehe, mkoa wa Kivu…
Majaliwa mgeni rasmi maadhimisho ya miaka 50 TEWW
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Agosti 25, 2025 ni mgeni rasmi katika kongamano la kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima inayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es…
Waziri Mavunde aweka jiwe la msingi la ujenzi wa Maabara ya Kisasa ya Madini Dodoma
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya madini baada ya kuanza rasmi kwa ujenzi wa maabara kubwa na ya kisasa ya uchunguzi wa sampuli za madini itakayotoa huduma bora na za haraka kwa wadau wa sekta hiyo…
Komolo yapata shule mpya ya Ole Mbole, Eclat Foundation waikabidhi Serikali
Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Simanjiro Shirika lisilo la Kiserikali la ECLAT Foundation Kwa kushirikiana na Upendo Association ya Ujerumani wamejenga Shule Mpya ya Msingi ya Ole Mbole iliyojengwa Kwa gharama ya sh.mil.169.2 katika Kijiji na Kata ya Komolo, Wilaya ya…





