Author: Jamhuri
Katibu Chadema Mwanza ajiunga CCM
Aliyekuwa Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mkoa wa Mwanza, Boniphace Mkoaba ameamua kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mkoba amepokelewa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk Asha Rose Migiro mbele ya mgombea urais wa…
Samia alivyongarisha miradi yakimkakati Mwanza, mazuri yanakuja
Na Kulwa Karedia-Jamhuri Media-Mwanza MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amesema Mkoa wa Mwanza umepata Sh trilioni 5.6 kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo. Ametoa kauli hiyo wakati akihutubia maelfu ya wananchi kwenye uwanja…
Miradi ya kusambaza umeme vitongojini kukamilika ifikapo 2030
📌Huduma ya umeme kwenye vitongoji yafikia asilimia 58📌Majiko banifu 200,000 kuuzwa kwa ruzuku ya 80% hadi 85% Tanzania bara📌Mitungi ya gesi 452,455 ya kilo 6 kuuzwa kwa ruzuku ya 50%📌Mifumo 20,000 ya umeme jua kufungwa kwa wakazi maeneo ya visiwani📌Serikali…
Kihongosi : Msikubali vijana kuingizwa kuingizwa mkenge
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Kenani Kihongosi, ametoa wito kwa Vijana wote nchini kutokubali kuingizwa mkenge na baadhi ya watu wasio na uzalendo wa Taifa letu wala kujali utu wenye…
Comoro yafurahishwa na upendo wa madaktari bingwa Watanzania
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam RAIS wa Umoja wa Visiwa vya Comoro, Kanali Azali Assoumani, ameongoza msafara wa viongozi waandamizi wa Serikali ya Comoro kutembelea Kambi Maalumu ya Matibabu ya Kibingwa inayoendelea katika Hospitali ya Hombo, kisiwani Anjouan….
Afungwa miaka 30 kwa kosa la kulawiti
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha miaka 30, Boniface Matale (30), mkulima na mkazi wa Kata ya Mbagwa wilayani humo, baada ya kupatikana na Hatia ya kumlawiti kijana mwenye…