Author: Jamhuri
Urusi, Ukraine zaendelea kukabiliana vikali Kursk
URUSI imesema vikosi vyake vilifanya mashambulizi makali dhidi ya vikosi vya Ukraine katika mkoa wake wa magharibi wa Kursk, ambako jeshi la Ukraine liliripoti ongezeko la mapigano katika masaa 24 yaliyopita. Kwa mujibu wa mkuu wa majeshi wa Ukraine, siku…
Naibu Waziri Kundo aongoza kikao kazi na watumishi sekta ya maji Pwani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani NAIBU Waziri wa Maji, Kundo Mathew (Mb) ameanza ziara ya kikazi ya siku mbili katika Mkoa wa Pwani yenye lengo la kuangalia njia bora za kuboresha huduma ya maji katika Mkoa huo. Kundo ameeleza dhumuni…
Juma Burhan: Mifumo ya kidijitali itaongeza uwazi, uwajibikaji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar MKURUGENZI Mtendaji Wakala wa Uwezeshaji Wannachi Kiuchumi (ZEEA), Juma Burhan amesema kuwa uwepo wa mifumo ya kidijitali katika wakala huo na taasisi zote za serikali nchini itaongeza uwazi na uwajibikaji. Burhan ameyasema hayo jana visiwani…
Marekani yaishutumu Urusi kwa kufadhili vita Sudan
Marekani imeishutumu Urusi kwa kufadhili pande mbili zinazopigana nchini Sudan, hatua inayoonekana kusisitiza madai ya awali ya Washington kwamba Moscow imekuwa ikichochea kuendelea kwa mgogoro huo. Akizungumza katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa jana Jumatatu, Balozi…
Dk Nchemba afungua mafunzo ya Kamati ya PAC
Na Benny Mwaipaja, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), amefungua mafunzo ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), yanayohusu Usimamizi wa Fedha za Umma, yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha kupitia…
Tanzania kushirikiana na Italia kuendeleza sekta ya madini
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejipanga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na Italia katika kuendeleza sekta ya madini, hususan kwa kutumia teknolojia na mitambo rafiki kwa mazingira. Waziri wa Madini, Mh. Anthony Mavunde (Mb), amesema hayo tarehe 06 Januari…