JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Dk Biteko asema kupiga kura ni uwekezaji wa maisha

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Doto Mashaka Biteko amewaasa wananchi kushiriki katika zoezi la upigaji kura Oktoba 29 ili kuchagua viongozi watakaoweza kutimiza matarajio yao ya kuwaletea maendeleo. Dkt. Biteko amesema hayo Septemba…

Balozi Mwamweta amtaka mwanariadha Gabriel na wenzake kuiwakilisha vyema Tanzania jijiji Berlin

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Hassani Mwamweta amewataka wanariadha wanaoshiriki mashindano ya BMW Berlin-Marathon @berlinmarathon-mwaka 2025 kutetea heshima ya nchi kwa kuhakikisha kuwa wanafanya vizuri katika mashindano hayo, yatakayofanyika Berlin Septemba 21, 2025. Balozi Mwamweta alitoa kauli hiyo alipokutana na…

Fahad Soud ajinyakulia IST kupitia Simbanking ya CRDB

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKAZI wa Jiji la Tanga, Fahad Soud, ameibuka mshindi wa pili wa gari jipya aina ya IST kupitia kampeni ya Benki ya CRDB inayolenga kuhamasisha matumizi ya huduma za kidijitali, hususan SimBanking. Hafla…

Mgombea urais DP aahidi neema kwa wastaafu

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora CHAMA Cha Democratic Party (DP) kimezindua mikutano yake ya kampeni za Urais, Ubunge na udiwani katika uwanja wa stendi ya zamani Mjini Tabora na kuahidi kuboresha mafao ya wastaafu nchini. Akizungumza katika mkutano huo uliofanyika…

TBS yajivunia mafanikio makubwa yaliyopatikana ndani ya Serikali Awamu ya Sita

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limesema linajivunia mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, likitaja mafanikio hayo kuwa ni pamoja na usogezeaji wa huduma kwa wananchi, uboreshaji wa maabara,…